Al Azhar Observatory

Imamu Mkuu ameelekeza kwamba mwanafunzi wa Guinea Mamadou Barry atunzwe
     Mheshimiwa Imamu Mkuu, Prof. Dr. Ahmed El-Tayeb, Imamu Mkuu wa Al-Azhar, alitoa maagizo yake kwa kumtunza mwanafunzi/ Mamadou Savayo Barry,aliyetoka nchini Guinea, ambaye alikuja kutoka nchi yake, akiendesha baiskeli yake...
Wednesday, 27 September, 2023
Al-Azhar yalaani vikali jinai za kukata Msahafu nchini Uholanzi na yaziita nchi za kimagharibi zibainishe msimamo wake wa kweli kuhusu suala la uadui dhidi ya Uislamu
     Al-Azhar inaeleza kulaani kwake jinai za kukata nakala ya Msahafu tukufu mbele ya balozi kadhaa mjini Lahai nchini Uholanzi, katika mfululizo wa jinai zinazotekelezwa dhidi ya Uislamu na vitakatifu vyake, ikisisitiza kwamba...
Tuesday, 26 September, 2023
Al-Azhar yafichua Mbinu za Makundi ya kigaidi za Kudanganya na Kuwashawishi Vijana
Imeandaliwa na; Dkt. Alaa Salah Abdulwahed
Monday, 25 September, 2023
Mtume (S.A.W.) ndiye ruwaza njema wetu na Rehema wa Mwenyezi Mungu kwa walimwengu wote
Imeandaliwa na; Dkt. Ahmed Khalaf Abulfadl
Sunday, 24 September, 2023
Kumfuata Mtume wa Rehma (S.A.W.) na Athari zake kwa mtu na jamii
       Inaeleweka kwamba kila umma una kiongozi wake anayefuatwa na kutiiwa katika mambo yote ya maisha. Pia, kila mwanadamu huwa na ruwaza wake ambaye ni kiongozi wake anayemfuata na kutaka kuwa mfano wake katika maisha...
Saturday, 23 September, 2023
First5859606163656667Last