Hija ni wito wa Kuimarisha Mshikamano na Umoja wa Waislamu
Hapana shaka kwamba lengo la kwanza la Hija ni kuzidisha kumuelekeza mja kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kumfanya kuwa mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, na kuimarisha uhusiano kwake na kuiingiza kwa ndani zaidi imani katika moyo...
Thursday, 30 July, 2020