Kiashirio cha halifu za makundi ya kigaidi na juhudi za kukabiliana nazo barani Afrika kwa mwezi wa Novemba 2025

  • | Tuesday, 16 December, 2025
Kiashirio cha halifu za makundi ya kigaidi na juhudi za kukabiliana nazo barani Afrika kwa mwezi wa Novemba 2025

     - Utekelezaji wa mashambulizi (15) ya kigaidi yaliyosababisha mauaji ya watu (185), na (148) waliojeruhiwa, na kuteka nyara (365) wengineo.

- Eneo la Afrika Magharibi na Pwani lilikuja katika nafasi ya kwanza, kwa usajili wa operesheni ( 12 ) za kigaidi, ambazo zilisababisha vifo vya watu (96), na (48) waliojeruhiwa, na kuteka nyara (365) wengineo.

- Eneo la Afrika ya Kati lilikuja katika nafasi ya Pili, kwa kulikabili operesheni (3) za kigaidi, zilizopelekea kuwaua watu (89), pasipo na majeruhi wowote.

- Ama eneo la Afrika Mashariki, halijashuhudia shughuli zozote za kigaidi katika kipindi cha mwezi huu.

- Kwa mujibu wa shughuli za kigaidi, Nigeria ilikuja katika mstari wa mbele baada ya kushuhudia operesheni (7) za kigaidi, na ambazo zilisababisha vifo vya watu (17), na (14) waliojeruhiwa, na kuteka nyara (361) wengineo.

- Kwa mujibu wa ukatili wa mashambulizi ya kigaidi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ilikuja katika mstari wa mbele baada ya  watu (89) kuuawa kutokana na mashambulizi (3) ya kigaidi.

-Utekelezaji wa mashambulizi (13) ya kijeshi yaliyosababisha Mauaji ya wanamgambo (158) wa kigaidi, na kukamatwa kwa (94) wengineo. 

Print
Categories: Makala, Infographic
Tags:
Rate this article:
5.0

Please login or register to post comments.